Kwenye makala ya Ari na Ukakamavu tunamwangazia kijana Jude Kasagga kutoka taifa la Uganda aliyejitosa katika sanaa ya uchoraji,alijiuzulu kama mhadhiri nchini Uganda na kuamua kuikuza talanta. Mwanahabari wetu Kimani Githuku alimtembelea Jude Kasagga na kutuandalia taarifa ifuatayo.