Dau la mnyonge haliendi joshi … likienda litazama … ndio mashua ambayo takriban familia 13, ooo katika eneo Bunge La Butula Kaunti Ya Busia imejipata. Lakini sasa mashua hiyo inayumbayumba na ukingo wake umesalia kuwa vifo , kovu za stahamala , na vitisho kila uchao kwa wakenya sehemu hii. Hii ni hadithi ya dhulma za kimapenzi kwa watoto, mateso na hata safari ya kutafuta haki kwa watoto waliopitia jinamizi lisilotajwa wala kusemwa. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/KTNkenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.